Mkurugenzi Mtendaji wa
Banki ya Barclays Tanzania Kihara Maina akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Wizara ya Fedha na
Uchumi Dkt. William Mgimwa katika hafla
ya uzinduzi wa udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk Management Solutions).Uzinduzi
huo uliyofanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Mgeni
Rasmi Waziri wa Wizara ya Fedha na Uchumi Dkt. William Mgimwa akiongea na
viongozi, wawezeshaji na wateja wa Benki
ya Barclays Tanzania wakati wa hafla ya uzinduzi wa udhibiti wa vihatarishi
katika usimamizi wa fedha (Risk
Management Solutions) iliyofanyika leo
kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa
bodi ya benki ya Barclays Tanzania Fatma Karume (kulia) akisisitiza na
kufurahia jambo alipokuwa anaongea na Mgeni Rasmi (hayupo kwenye picha) wakati
wa hafla ya uzinduzi wa udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk
Management Solutions) iliyofanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mjumbe wa bodi ya benki hiyo Suleiman Mohamed.
Baadhi ya
washiriki wa semina ya udhibiti wa vihatarishi katika usimamizi wa fedha (Risk
Management Solutions) wa Benki ya Barclays wakihudhuria hafla ya uzinduzi huo uliofanyika leo kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam.
0 comments:
Post a Comment