Nafasi Ya Matangazo

August 12, 2013

Ally Choki na mnenguaji wake wakionyesha ‘machejo’. Aziza Kimsi wa TOT Taarab akiimba.
Wanamuziki wa TOT wakiimba. Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choki, akiimba wimbo wa Mtenda Akitendewa.
Wanamuziki wa Extra Bongo wakiwa kazini.
Wanenguaji wa Extra Bongo wakijinafasi.
Naibu Mkurugenzi wa TOT, Gasper Tumaini akionyesha 'matindo' ukumbini.
MASHABIKI wa muziki jana walipata burudani ya kukata na shoka katika sikukuu ya Idd Pili kwenye Ukumbi wa Dar Live ulioko Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam ambapo walichenguliwa vilivyo na bendi za Extra Bongo na TOT.
(NA ISSA MNALLY / GPL)
Posted by MROKI On Monday, August 12, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo