Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi wakati
alipotembelea katika banda la VETA kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na
chuo hicho katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
VETA Idrisa Mshoro (katikati)akipewa
maelezo na Alfan Ngowo juu ya Teknolojia
za ukusanyaji wa taarifa za ardhi na mazingira
wakati alipotembelea katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37
ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.kulia niMkurugenzi Mkuu wa VETA
mhandisi Zebadiah Moshi na Makamu Mwenyekiti wa Maonesho wa VETA Abduri Mollel.
Baadhi ya wanafunzi waliofika katika
banda la VETA wakipata maelezo kutoka kwa Theopista Michael ambaye ni
mwanafunzi wa chuo VETA cha Njiro Arusha kinachotoa mafunzo ya Diploma ya mambo
ya hoteli na utalii.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipewa maelezo na Mwalimu wa VETA Tabora
Diana Mlengeki juu ya mashine ya useketaji wa nguo aina mbalimbali zitokanazo
na nyunzi wakati alipofika katika banda la VETA kujionea shughuli mbalimbali zinazotplewa
na Chuo hicho katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
VETA Idrisa Mshoro
(katikati)akimsikiliza Mkufunzi wa madereva Anthony Gaspar wakati alipokuwa
akimuelezea njinsi ya madereva wanavyoweza kuzuia ajari baada ya kupewa
mafunzo wakati alipotembelea katika
banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es
Salaam.kulia niMkurugenzi Mkuu wa VETA mhandisi Zebadiah Moshi na Makamu
Mwenyekiti wa Maonesho wa VETA Abduri Mollel
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira Eric Shitindi akimsikiliza Linda Njenje ambaye ni mwanafunzi mwenye
mahitaji maalumu anayesoma katika chuo cha VETA kwa walemavu kirichopo Usariva
Arusha,akitoa maelezo juu ya mafunzo wanaoyoyapata katika chuo hicho wakati
alipotembelea katika banda lao lililopo kwenye maonesho ya 37 ya Biashara ya
Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira Eric Shitindi akimsikiliza mwalimu wa
VETA Tabora Diana Mlengeki juu ya mashine ya useketaji wa nguo aina mbalimbali
zitokanazo na nyunzi wakati alipofika katika banda la VETA kujionea shughuli
mbalimbali,zinazoonyeshwa kwenye maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa Dar es
Salaam.
aji Kiongozi Mahakama Kuu ya Tanzania
Mh.Fakih Jundu (katikati)akimsikiliza
mwalimu wa VETA Morogoro Sophia Tuka wakati alipokuwa akimuelezea juu
yautengenezaji wa alama za barabarani
,zilizotengenezwa na wanafunzi wa VETA,Kulia niniMkurugenzi Mkuu wa VETA
mhandisi Zebadiah Mosh na Kushoto niMsajili wa Mahaka Kuu Benedict Mwingwa.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
VETA Idrisa Mshoro (Kushoto)akimsikiliza
mwalimu wa VETA Marthine Choma
akimuelezea mafunzo ya nayotolewa na chuo hicho
wakati alipotembelea katika banda la VETA lililopo katika maonesho ya 37
ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment