Wasanii wa kundi la
Vichekesho la Kinoko lenye maskani yake Kinondoni jijini Dar, wakiwakilisha wakati wa tamasha la utangulizi maalum
kwa Uzinduzi wa huduma ya AIRTEL Yatosha lililofanyika mkoani Morogoro leo.
Jukwaani ni mmoja
wa wasanii chipukizi wa mkoni Morogoro akiwakilisha wakati Airtel
wapolifanya tamasha maalum la uzinduzi wa huduma ya Airtel Yatosha mjini humo leo.
Wakazi wa Morogoro waliendelea kujitokeza kwa wingi jukwaani kujiunga na huduma ya Airtel Yatosha kwa Kupiga namba *149*99#,na kupokelewa vyema na wakazi wa mji huo jioni ya leo.
Wakazi wa Morogoro walijitokeza kwa wingi jukwaani kujiunga na huduma ya Airtel yatosha kwa Kupiga namba *149*99#.
Sehemu ya umati wa
watu waliojitokeza viawanja vya shule ya msingi Sabasaba kushuhudia
shamra shamra za uzinduzi wa maalum wa huduma ya AIRTEL Yatosha mjini
morogoro
********
Airtel
yatosha yapokelewa kwa kishindo na umati wa wakazi wa morogoro
waliojitokeza kwa wingi leo katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo mjini
morogoro wakati Airtel ilipofanya tamasha la utangulizi leo na
kutumbuizwa na wasanii wa kundi la Vichekesho la KINOKO lenye maskani
yake toka jijini Dar es salaam
Akiongea
wakati wa tamasha hilo la Utangulizi meneja uhusino wa Airtel Jackson
Mmbando alisema “Airtel YATOSHA imefanikiwa kupunguza gharama za
mawasiliano nchini hivyo tumeamua
kuingia Morogoro kwa kishindo kuanza matamasha yetu ya kutoa elimu
kuhusu huduma hii ya Airtel yatosha ili wananchi waitumie na kufaidika
zaidi" alisema.
Zaidi
zaidi pia tumejipanga kutoa burudani kwa wananchi kwa kufanya matamsha
haya ambapo tutazunguka kila pande waliko wateja wetu ili pia kuendeleza
ushkaji wetu na wateja wetu nchini Tanzania.
0 comments:
Post a Comment