Nafasi Ya Matangazo

March 18, 2013

Mkuu wa wilaya ya ruangwa Mhe. Agnes Hokororo (MB) akihamasisha wananchi na wanachama wa nhif na mfuko wa afya ya jamii (CHF) wakati  wa uzinduzi wa mpango wa elimu ya kata kwa kata wilyani humo kulia kwa mkuu wa wilaya ni mkurugenzi wa mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ruangwa Ruben Mfune,kushoto ni mwenyekiti wa halmashauri ya ruagwa  A.Libaba.
Msimamizi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bi Fortunata Kullaya akitoa maelezo ya maboresho ya mafao yatolewayo na mfuko huo wakati wa uzinduzi wa mpango wa elimu ya kata kwa kata uliofanyika wilayani Ruangwa kwa kutemeblea kata 21 zilizopo kwenye Halmashauri hiyo.
Wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya na Mfuko wa afya ya jamii wakimsikiliza mkuu wa wilaya  hayupo pichani.
 Mzee Moris Hariri alihamasika na kujiunga papo hapo,pichani msimamizi wa ofisi ya NHIF Lindi Bi Fortunata Kullaya  akimpongeza kwa kujiunga kwake.

Elimu kwa Umma juu ya mfuko wa Bima ya Afya vinatolewa pia kwa njia mbalimbali ikiwemo ya matangazo ya redio.
Posted by MROKI On Monday, March 18, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo