Nafasi Ya Matangazo

March 18, 2013

Mwanamitindo Mbunifu wa Kwetu Fashion Designer Missy Temeke akiwana na mwanawe vLittle Princess Tuma wakati akikaribia kukata Birthday Cake yake Siku ya Jumamosi  March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland Nchini Marekani 
Mwanamitindo Mbunifu wa Kwetu Fashion Designer Missy Temeke birthday cake yake

Mwanamitindo Mbunifu wa Kwetu Fashion Designer Missy Temeke akiwa na wageni waalikwapamoja na familia yake tayari kwa ku-wish na kukata Birthday Cake yake
Dogo Salamu akiwa na baba yake pamoja na mdogo wake Tuma mwenye Pinky wakianda kuchomeka Mishumaa kwenye Cake ya Mama Mpendwa ambae ni Missy Temeke kwaajili ya kukata na Ku-Make Wish ya Siku ya Kuzaliwa kwake .

Baada ya kukatwa keki mdhamini wa pendo la Mwanamitindo Mbunifu wa Kwetu Fashion Designer Missy Temeke akimegua kaki kwaajili ya kuliwa. SOURCE: SWAHILIVILLA BLOG
Mdhamini wa pendo la Mwanamitindo Mbunifu wa Kwetu Fashion Designer Missy Temeke wakipata flash ya pamoja
  
Nguo ya mshono iliou- desig mwenyewe Missy Temeke (Picha ya pili) na mgeni mualikwa wakipata picha ya pamoja Siku ya Jumamosi  March 16, 2013.
Wageni waalikwa wakiwa kwenye Birthday Dinner ya Siku ya Jumamosi  March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland Nchini Marekani 
Wageni waalikwa wakiwa kwenye Birthday Dinner ya Siku ya Jumamosi  March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel.
Autiee Waheeda akiwa na wageni waalikwa  kwenye Birthday Dinner ya Miss Temeke iliofanyika Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland.
    
    
    
Ladha: Vyakula vilivyoliwa  kwenye Birthday Dinner ya Miss Temeke iliofanyika Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland.
Maryam na mdhamini wa pendo lake  kwenye Birthday Dinner ya Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland.
Tuma huyoo na mdhamini wa pendo lake kwenye Birthday Dinner ya Miss Temeke iliofanyika Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland
Dada Sabrina nae hakua nyuma na mdhamini wa pendo lake kwenye Birthday Dinner ya Miss Temeke iliofanyika Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland.

Loveness pia na mdhamini wa pendo lake  kwenye Birthday Dinner ya Siku ya Jumamosi March 16, 2013 kwenye ukumbi wa Hilton Hotel, iliopo Rockville Maryland.



\













Posted by MROKI On Monday, March 18, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo