Wakazi wa jiji la Arusha wakifurahia ujio wa bia ya
Tusker Lite katika hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya
Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza
kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga
na Moshi.
Nakaaya
Sumari akifurahia jambo na MC katika hafla hiyo.
Mmoja wa wageni waalikwa ambaye mwanamuziki
mkongwe wa muziki wa kizazi kipya jijini Arusha anayejulikana kwa jina la
”Mkoloni” akitoa neno lake kuonyesha hisia kuhusu ujio wa bia ya Tusker Lite,
kushoto na JBC,na kulia mwisho ni Nakaaya Sumari katika katika hafla ya
uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha
usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika
mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.
Nyaki na Mama
akishindana na nyaki kucheza muziki wakati wa hafla ya uzinduzi wa bia hiyo
uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia
hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya
Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.
Mwanamuziki wa Bendi ya Vibration ya jijini Arusha
akiwaongoza mabalozi wa bia ya Tusker Lite kucheza pamoja na wadau wa jijini
Arusha katika hafla hafla ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya
Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza
kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga
na Moshi.
Meneja
wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi kielezea wadau jinsi bia ya Tusker Lite
ilivyotengenezwa kwa vimelea asili na yenye wanga kidogo sana katika hafla ya
uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha
usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza kupatikana pia katika
mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.
Baadhi ya
wafanyakazi wa Kampuni ya bia ya Serengeti wakishindani kucheza muziki wakati
wa hafla ya uzinduzi wa bia ya Tusker Lite uliofanyika ka katika Hoteli ya Kibo
Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker lite sasa imeanza
kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya, Tanga
na Moshi.
Meneja wa bia ya Tusker Lite Bi. Anitha Msangi
(mwenye gauni nyeusi) akiwa amepozi pamoja na wasanii wa jijini Arusha Nakaaya
Sumari kushoto kwake na Peter kutoka Arusha na kushoto kwake ni Peter Ngassa
mdau kutoka Dar Es Salaam katika hafla ya ya uzinduzi wa bia hiyo uliofanyika
katika Hoteli ya Kibo Palace jijini Arusha usiku wa ijumaa. Bia hiyo ya Tusker
lite sasa imeanza kupatikana pia katika mikoa mingine ya Morogoro, Dodoma,
Iringa, Mbeya, Tanga na Moshi.
0 comments:
Post a Comment