Nafasi Ya Matangazo

March 14, 2013


Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imezindua kampeni yake Mpya ya kinywaji cha SERENGETI ijulikanayo kama ‘TUPO PAMOJA..KATIKA SHANGWE ZA ikiwa ni shukrani kwa watanzania na wadau wote wa  Bia ya Serengeti kutokana na mafanikio mbalimbalimbali ambayo yamefikwa tangu kuanzishwa kwa Bia hiyo miaka 10 iliyopita.


Akizungumza wakati wa Uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Epraimu Mafuru (pichani) amesema Kampeni hiyo imekuja baada ya mafanikio makumbwa ya Kampeni ya awali ya Chui Chui. Mafuru amesema kuanzia sasa yataonekana katika vyombo mbalimbali vya Habari nchini na mabango ya barabarani.

Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru (kulia) akizungumza na wadau na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hii leo kuhusina na uzinduzi wa Kampeni mpya ya Bia ya Serengeti ijulikanayo kama
‘TUPO PAMOJA..KATIKA SHANGWE ZA . Kushoto ni Meneja Mahusiano ya Ndani wa SBL, Imman Lwinga.

Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru (kushoto) akizungumza na wadau na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hii leo kuhusina na uzinduzi wa Kampeni mpya ya Bia ya Serengeti ijulikanayo kama ‘TUPO PAMOJA..KATIKA SHANGWE ZA . Pamoja nae ni Meneja wa Kinywaji cha Serengeti Lager, Allan Chonjo.


Meneja wa Kinywaji cha Serengeti Lager, Allan Chonjo akizungumza na wadau na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hii leo kuhusina na uzinduzi wa Kampeni mpya ya Bia ya Serengeti ijulikanayo kama ‘TUPO PAMOJA..KATIKA SHANGWE ZA .


Baadhi ya wadau wa Bia ya Serengeti ambao walihudhuria uzinduzi huo wa Kampeni mpya ya Bia ya Serengeti jijini Dar es salaam.


Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraim Mafuru akifafanua jambo kuhusiana na uzinduzi huo.
Posted by MROKI On Thursday, March 14, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo