Nafasi Ya Matangazo

March 14, 2013


Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknologia Dr. Hassan Mshinda akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mashindano ya "INFOMATRIX AFRICA" yanayoshirikisha nchi zaidi ya 17, kulia kwake ni  Mkurugenzi mkuu wa shule za Feza Ibrahim Bicaku na kushoto kwake ni Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Balozi Ali Davudoglu.
Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknologia Dr. Hassan Mshindaakiangalia na kupata maelekezo ya ubunifu wa kiteknologia kutoka kwa moja ya washiriki wa "Infomatrix Africa" yaliyoandaliwa na shule za  Feza.

 Baadhi ya walimu wakijadiliana jambo kuhusu maksi za washiriki wa  moja ya shindano katika hafla ya uzinduzi wa Infomatrix Africa
Posted by MROKI On Thursday, March 14, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo