Hakika kama ulisoma shule za
St Kayumba kule Kijijini lazima ulibeba vijiti vya namna hii kama motto huyu wa
darasa la kwanza katika Moja ya shule za Msingi Nguruka Wilayani Uvinza mkoani
Kigoma. Vijiti hivi ni kwaajili ya kujifunzia kuhesabu. Mijini watoto hutumia
Vizibo vya chupa za Bia au soda.
Shule za St Kayumba vijijini Mwanafunzi kwenda na Jembe, dumu la
maji na ufagio shuleni ni jambo la kawaida sana. Je wenzangu mnakumbuka nini
enbzi hizo?
0 comments:
Post a Comment