Shirika la Ndege la
Precision Air leo limekuwa Shirika la kwanza la Ndege Nchini kuanza safari zake
za Ndege Mkoani Mbeya katika Uwanja wa Ndege wa Songwe. Pichani ni ndege hiyo
ikiongozwa katika uwanja wa Songwe na baadae kupigiwa Saluti ikiwa ni Heshima
ya Ndege kutua katika Uwanja Mpya kwa mara ya kwanza.
Hii ndio yasulu maalum inayofanywa kwa Ndege kutua kwa mara ya kwanza katika uwanja.
Viongozi na wageni mbalimbali wakifuatilia tafrija ya kuanza kwa safari kwa Shirla Ndege la Precision Air.
Picha zote na Mbeya Yetu Blog.
0 comments:
Post a Comment