Rubani huyu alidai kitendo cha kubomolewa nyumba yake ni cha kinyama kwani yeye alikuwa mtumishi wa serikali kama rubani na katika kipindi chote cha utumishi wake hakuwahi hata siku moja kupata ajali hata pancha akiendesha Viongozi kama Marais.
Vitu vikiwa nje
Kutokana
na kuta za nyumba hiyo kuwa ngumu kazi ya ubomoaji ililazimika kuanzia
madirishani ili kurahisisha ubomoaji.
Vyombo
vilivyokuwa vikitumika upande wa Biashara vikiwa nje.Mgahawa ulikuwa maarufu
kama Kwa Mama.
Hizi
ndio barua zenye maelezo kamili juu ya sababu ya kubomolewa nyumba hizo na
lengo ni nini la Ubomoaji huo.
0 comments:
Post a Comment