Nafasi Ya Matangazo

December 14, 2012

Baadhi ya wanafunzi wahitimu wa mafunzo ya uandishi wa habari kwenye Chuo Cha Uandishi wa habari Cha Time (Time School of Journalism- TSJ ) wakifuatilia mahafali ya 12 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaaam, ambapo wanafunzi wa Stashahada na Astashaha wamehitimu.
Wadau wakipozi baada ya kula Nondozzzzz!
Mgeni rasmi kwenye mahafali hayo Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini Deus Kibamba akizungumza na wazazi, wanafunzi na wahitimu wa Masomo wa Chuo hicho kwenye mahafali yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wakifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi kwenye mahafali hayo.
Posted by MROKI On Friday, December 14, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo