Wafanyakazi
wa Mamlaka ya Mapato Tanzania wakiongozwa na Meneja wa TRA Mkoa wa
Mbeya, Anold Maimu wamefanya usafi maeneo ya Standi kuu ya mabasi mjini
Mbeya kuelekea kwenye kilele cha siku ya mlipa kodi.
Mtazamo
wa Mamlaka hiyo ukiwa ni kuwa karibu na walipa kodi kwa kwa kutoa
hudumia kwenye jamii na kuamsha moyo wa kujitolea katika huduma za
kijamii na kukumbusha umuhimu wa uhiyari wa kulipa kodi bila
shuruti!!!!Habari na Picha kwa hisani ya Image Profession.
0 comments:
Post a Comment