Nafasi Ya Matangazo

November 28, 2012

 WADAU wakiwa katika pozi baada ya kula nondo zao wakati wa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino jijini Mwanza hivi karibuni.Wapili kushoto ni Peter Milanzi na Kulia ni Neema Mbuja.
 Peter Milanzi akiwa katika vazi lake maalum la Mahafali baada ya Kutunukiwa Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma.
 Peter Milanzi akiwa na wahitimu wenzake wa shahada ya Uzamili, ya ST Augustine
Mhitimu wa Shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Umma, Peter Milanzi, akisalimiana na Mgeni rasmi katika Mahafali hayo na Waziri wa Ujenzi, Dk. John pombe Magufuli mara baada ya kuwatunuku wahitimu hao shahada zao.
Wahitimu mbalimbali wa Shahada za Uzamili wakisubiri kutunukiwa shahada zao.
Posted by MROKI On Wednesday, November 28, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo