
Mwili wa SharoMilionea ukiswaliwa

Nape akimpa pole Zaina Mkieli Mama wa Hussein Ramadhani, Sharo Milionea, Kijiji cha Lusanga, Muheza Tanga

Baadhi ya wasanii msibani, Lusanga

DC Muheza, Subra Mgalu akisoma salam za EOTF ya Mama Mkapa

Baadhi ya wasanii msibani, Lusanga

Nape (Watatu kulia, waliobeba jeneza) akishiriki kubeba jeneza lilipofika Lusanga, nyumbani kwa marehemu

Nape akitoa pole za Chama kwenye mazishi hayo

Nape akitupa udogo kaburini wakati wa mazishi ya Sharo Milionea, Lusanga, Tanga

Waombolezaji wakaimsaidia mwenzao aliyepoteza fahamu msibani

Mzee Kingi Majuto akitupa mchanga kaburinu kumzika Sharo Milionea

Nape,
Rais wa Bongo Movies Simon Mwakifwamba, Meneja mahusiano wa kamuni ya
Airtel,Jackosom Mbando wakisubiri mwili wa marehemu kuwasili nyumbani
Lusango, Muheza.

Msanii
wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana
FA akitoa salam kwa niaba ya Wanamuziki wa Bongofleva.

Watu walipanda juu ya mnazi ili kushuhudia tukio hilo la mazishi.

Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele

Rafiki
mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono na Msanii wa filamu JB wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.Picha
Kwa Hisani ya Jiachie Blog






0 comments:
Post a Comment