Nafasi Ya Matangazo

November 27, 2012

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu za Mkononi, Sam Elangalloor, wakifunua kitambaa kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa Shule ya Msingi Kilomo, iliyopo Wilaya ya Bagamoyo-Mkoa wa Pwani, iliyokarabatiwa na Kampuni ya Airtel Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika leo Nov 27, 2012.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu za Mkononi, Sam Elangalloor, wakati akionyeshwa madawati yaliyotolewa na Kampuni hiyo kwa Shule ya Msingi Kilomo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Shule hiyo baada ya kukamilika kwa ukarabati. leo Nov 27, 2012.
waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dk, Shukur Kawambwa akionyesha picha ya shule ilivyokuwa kabla ya matengenezo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu za Mkononi, Sam Elangalloor, kukagua maeneo ya Shule ya Msingi Kiromo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa shule hiyo, uliofanyika leo Nov 27, 2012, shuleni hapo baada ya kukamilika kwa ukarabati uliofanywa na kampuni ya Simu za mkononi ya Airtel Tanzania.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu za Mkononi, Sam Elangalloor, kuhusu matumizi na makusudio ya mafunzo ya Kompyuta wakati alipotembelea katika chumba cha Kompyuta, baada ya kuzindua rasmi shule ya Msingi, Kilomo, leo Nov 27, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Sam Elangalloor, wakati alipokuwa akitembelea katika Chumba cha Maktaba cha Shule ya Msingi Kilomo, baada ya uzinduzi rasmi wa shule hiyo, uliofanyika leo Nov 27, 2012.
Posted by MROKI On Tuesday, November 27, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo