Spika wa
Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa
Japan (Bunge) Mhe. Hirotami Murakoshi kwenye chakula cha jioni Dodoma
Hoteli. Waziri Murakoshi yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi.
Katibu wa
Bunge Dkt Thomas Kashillilah (kulia) akiwakaribisha na kuwafunda
waajiriwa wapya 19 walioajiriwa hivi karibuni katika ofisi ya Bunge.
Mhe. Azzan
Zungu (kushoto), Mbunge wa Ilala na Mwenyekiti wa Bunge akitoa ufafanuzi
wa yaliyotokea siku alipotuhumiwa kutoa rushwa mjini Dodoma.
Ameuhakikishia umma kwamba hilo si kweli.
Wajumbe wa
Jukwaa la Katiba wakiwa na wanahabari mjini Dodoma wakati wa hafla ya
kukabidhi jezi za michezo kwa timu ya Bunge chini ya nahodha wake Mhe.
Idd Azzan, Mbunge wa Kinondon.
0 comments:
Post a Comment