Balozi
Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen Qiman (kulia)akipata maelezo kutoka
kwa Mkurugenzi wa Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda wakati
alipofanya Ziara ya kutembelea Minara ya kurushia Matangazo ya Shirika
la Habari la Zanzibar (ZBC)huko Masingini Wilaya ya Mjini Unguja.
Waziri wa
Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (wamwanzo
kulia)akielezea jambo alipopatamaelezo kuhusu Mitambo ya Kurushia
Matangazo huko Bungi wakati Waziri huyo akiwa pamoja na Balozi Mdogo wa
China aliepo Zanzibar Chen Qiman alipofanya Ziara ya kutembelea minara
ya kurushia matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar (ZBC).
Waziri wa
Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (Kulia)akiwa pamoja
na Balozi Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen Qiman wakati balozi huyo
alipofanya Ziara ya kutembelea minara ya kurushia matangazo ya Shirika
la Habari la Zanzibar (ZBC).
Waziri wa
Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (wamwanzo
kulia)akipata maelezo kutoka kwa Injinia mkuu wa Utengenezaji wa Mitambo
Wei Min Zhao kutoaka CRTV China wakati Waziri huyo akiwa pamoja na
balozi Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen Qiman alipofanya Ziara ya
kutembelea minara ya kurushia matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar
(ZBC)huko Bungi.
Waziri wa
Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (wamwanzo
kushoto)akiwa katika Kikao cha Majumuisho na Balozi Mdogo wa China
aliepo Zanzibar Chen Qiman baada ya Ziara ya Kutembelea Minara ya
Kurushia Matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar (ZBC)huko Ofisni
kwake Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Waziri wa
Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (katikati)akiwa
katika Picha ya Pamoja na Balozi wa Mdogo wa China aliepo Zanzibar Chen
Qiman(kushoto ya waziri)wakati balozi huyo alipofanya Ziara ya
kutembelea minara ya kurushia matangazo ya Shirika la Habari la Zanzibar
(ZBC).
0 comments:
Post a Comment