Nafasi Ya Matangazo

October 28, 2012

Bwana Athumani Hamisi ( Mpigapicha wa Magazeti ya HabariLEO na Daily News) wa Sinza Jijini Dar es Salaam anatangaza Kifo cha Baba yake Mzazi, Mzee Hamisi Msengi (mwenyebalaghashia) Kifo kilichotokea leo alfajiri nyumbani kwa Marehemu Mkoani Singida. Mazishi yanatarajiesho Oktoba 29/2012 mkoani Siginda.

Pichani ni Athumani Hamisi akiwa na Marehemu Baba yake wakati alijea kutoka nchirika Kusini kwa Matibabu. Yeyote atakae guswa na Msiba huu awasiliane na Athumani Hamsi 0655531188 au 0784531188
Posted by MROKI On Sunday, October 28, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo