AJALI
nyingi za barabarani nchini husababishwa na madereva wazembe wasio zingatia
sheria za matumizi sahihi ya barabara. Miongoni mwa ajali hizo nyingi
husababishwa na madereva hao kuovatake magari mengine katika kona au milima kama
basi hili linavyofanya katika kona ya Lugalo mkoani Iringa. Madereva “PAMBANA
NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA”.
Basi
hili linguine nalo lilikuwa linafanya makopsa hay ohayo ya kulipita gari linguine
katika miinuka na kona kali za mlima Kitonga.
Polisi
wa Kikosi cha Usalama barabarani
mkoa wa Iringa, akiwepo RTO, SP. Pamphil Honono (kushoto) walimuona na
kumsimamisha dereva wa basi hilo. Matukio haya yanatokea ndani ya wiki
ya Nenda kwa Usalama Kitaifa.
Dereva huyo alikuwa ni Issack Gerald Nyamaiswe Mkazi wa Mjini Dodoma.
Nahapa Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani akimwandikia Notfication dereva huyo.
0 comments:
Post a Comment