Mwenyekiti
wa
Baraza la Taifa la Usalama barabarani na Naibu Waziri wa Wizara ya
Mambo ya
Ndani, Pereira Silima (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama
Barabarani mkoa wa
Iringa, Salim ‘Asas’ Abri wakifuatilia mkutano huo unaoendelea hivi sasa
katika
Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO) mjini Iringa. Mkutano huu
unafanyika ndani ya Wiki ya Maadhimisho ya Nenda kwa Usalama barabarani
ambapo kitaifa inafanyika mkoani Iringa na kauli mbiu ya mwaka huu ni
“PAMBANA
NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA”.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
barabarani na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Pereira Silima
(katikati) Katibu wa Baraza hilo na Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani Mohamed
Mpinga (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati
ya Usalama Barabarani mkoa wa Iringa, Salim ‘Asas’ Abri wakifuatilia mkutano
huo unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO) mjini
Iringa.
Katibu
wa Baraza la Taifa la Usalama barabarani hilo na Kamanda wa Kikosi cha Usalama
barabarani Mohamed Mpinga, akitoa taarifa ya Usalama barabarani kwa mwaka uliopita
mbele ya wajumbe wa Baraza hilo.
Sehemu
ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama barabarani wakisikiliza kwa makini
taarifa hiyo ya Kamnada Mpinga juu ya hali ya usalama barabarani.
Mkurugenzi
Udhibiti Usafiri wa barabara SUMATRA, Aron Kisaka akielezea juu ya hatua
mbalimbali ambazo SUMATRA inachukua katika udhibiti wa vyombo vya usafiri hasa
magari aina ya NOAH na Pikipiki katika utoaji leseni wake.
Sehemu
ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama barabarani wakisikiliza kwa makini
taarifa hiyo SUMATRA.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
barabarani na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Pereira Silima
(katikati) Katibu wa Baraza hilo na Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani Mohamed
Mpinga (kushoto) na Mwenyekiti wa Kamati
ya Usalama Barabarani mkoa wa Iringa, Salim ‘Asas’ Abri wakifuatilia mkutano
huo unaoendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO) mjini
Iringa.
0 comments:
Post a Comment