Katikati
ni mshindi wa Redds Miss Lake zone 2012/13 Eugene Fabian kutoka Mara
akiwa katika sura ya furaha mara baada ya kutangazwa rasmi kunyakua taji
hilo, Kushoto kwake ni mshindi wa Tatu Happiness Rweyemamu kutoka
Shinyanga na Kulia kwake ni mshindi wa pili Happiness Daniel kutoka
Mwanza. Washindi hawa watatu watawakilisha Kanda ya ziwa katika shindano
la taifa linalotarajiwa kufanyika baadaye mwezi ujao. Mshindi wa kwanza
ameondoka na kitita cha shilingi Laki 7, mshindi wa pili laki 5 na
mshindi wa tatu laki nne na nusu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment