Meneja wa bia mpya ya Faru Kabula Nshimo, akionesha chupa ya Bia ya Kiu
Meneja wa Matukio wa TBL Kanda ya ziwa Erick Mwayela (kushoto) na Meneja wa bia mpya ya Faru Kabula Nshimo, wakigongesha chupa na timu ya promosheni ya bia hiyo wakati wa uzinduzi wake jijini Mwanza jana.
Meneja wa Matukio wa TBL Kanda ya ziwa Erick Mwayela (kushoto) akimkabidhi Tshirt mshindi wa bahatinasibu Ally Abdurahmani iliyochezeshwa wakati wa uzinduzi wa bia mpya ya Faru jijini Mwanza jana.
0 comments:
Post a Comment