Akina mama hawa juu ya Mkokoteni wakazi wa Mjini Arusha wakiwa juu ya mkokoteni pamoja na bidhaa zao wakielekea sokoni kama walivyonaswa na Camera ya FK Blog maeneo ya Stendi Kuu ya mabasi mjini humo majira ya asubuhi wakielekea sokoni kuuza biashara zao.
Licha ya kuwa usafiri huu ni rahisi na mzuri lakini si salama kwa akina mama hawa pindi itokeapo ajali, hivyo hawana budi kutumia aina nyingine ya usafiri kufika sokoni wao na mizigo kupakiwa humo.
0 comments:
Post a Comment