Kikosi cha timu ya Simba B ambacho kilishuka dimbani hii leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kumenyana na Azam FC katika michuano ya Bank ABC Super8 inayoendelea hivi sasa . Simba ilishinda 2-1 katika mchezo huo.
Kikosi cha Azam FC
Posted by MROKI
On Wednesday, August 15, 2012
No comments
0 comments:
Post a Comment