Nafasi Ya Matangazo

August 15, 2012

Wauzaji wa vipodozi vya kisasa na vya aina yake SKIN SOLUTION waliopo Mikocheni kwa Mwinyi jirani na Baraka Plazza jijini Dar es Salaam au zilipokuwa Ofisi za Share Illusion (Mikocheni) wamekushushia mzigo mpya maalum kwa ajili ya Idd El Fitri.

Nenda Skin Solutions ukayajue mengi na utapata ushauri unaoendana na ngozi yako juu ya kipodozi gani ukitumie na kikufanye upendeze kama ni MAKARI  au OBAGI utajua hapo!!.
 
Kama kawa Obagi wameongeza za kutosha baada ya za kwanza kumalizika!! uzuri wa wateja wa Skin Solutions wako tayari kutushuhudia mtaona hapa hapa
 MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI O767780014 AU 0783 036666


 Bidhaa maksusi kwaajili ya kusaidia kuiweka ngozi yako kuwa nyororo na yakuvutia daima na iliyo na afya. Ununuapo hii unapata vitu kibao kama vile Special daily wash, toner, moisturizer with spf 15
 Hii ni lotion murua kabisa kwa kung’arisha Ngozi yako bila taabu na kuonekana mrembo zaidi unaevutia hii ni pamoja na Body Milk , Cace cream na sabuni maalum “Triple action soap”

 Revitol, haya mabo yote nimeshayazungumzia kugarisha ngozi nazo zimeletwa tena baada ya wateja kuhitaji zaidi, ndio wakati wa mgaro sikuuu hiyo yaja!!!





Anti Bacterial Hand Gel products, hizi ni kwa ajili ya kwenye mkoba wako! Pamoja na  Japanese Cherry Blossom Body Mist, unapata na lotion yake, vichupa vidogo kwa ajili ya kwenye pochi sambamba na Victoria Secret body mist & lotion
 Pochi maalum za kuhifadhia vipodozi vyako nazo zinapatikana hapa.
 Si wakina mama tu ambao hujali ngozi zao hata wanaume pia huitajaji utanashati na SKIN SOLUTIONS wanalijua hilo na bidhaa nyingi kwaajili ya wanaume nazo zipo.
 Brusha za aina mbalimbali zipo kwaajili ya kujipakia make up zako.

  Hii ni perfume ya Makari,ukienda skin Solutions kuna taster utajaribu ina harufu nzuri sana na ndani yake kuna harufu ya alhudi, jamani ni nzuri sana siwezi sema sana!!
Utahudumiwa na wahudumi warembo wa duka hilo na kupata ushauri wa ngozi yako. 
kwa vipodozi zaidi BOFYA hapa >>>>SKIN SOLUTIONS
Posted by MROKI On Wednesday, August 15, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo