


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mhe. Juma Kapuya, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waalikwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri Maliasili na Utalii, Hamis Kagasheki, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waalikwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana wageni wake na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya hafla ya futari, iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
0 comments:
Post a Comment