Nafasi Ya Matangazo

August 23, 2012

 Yanga wakifanya mazoezi.
 wachezaji na viongozi wa yanga wakipata maelezo kabla ya kuingia kutembelea nyumba ya makumbusho ya mauaji ya kimbari
 yanga wakiwasili katika makaburi ya mauaji ya kimbari mjini kigali
 Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa yanga, Fatma Karume akiwaongoza viongozi na wachezaji wa yanga kwenda kuweka mashada 
viongozi wa yanga wakisubiri kuzuru na kuweka mashada ya maua katika makaburi ya mauaji ya kimbari mwaka 1994.Picha zote kwa hisani ya  SALEH ALLY WA GAZETI LA CHAMPIONI
Posted by MROKI On Thursday, August 23, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo