Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Tawi Njombe Dr. Elia Shabani Mligo (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kitabu chake alichoandika kitakachomsaidia mwanafunzi kuandaa kuandika utafiti kwa urahisi kwa kutumia lugha ya kiswahili. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya EGYS ambaye ni mchapishaji Mkumbo Mitula.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment