Meneja wa Huduma za Tigo Internet (katika) Bw.Titus Kafuma akiongea na waandishi wa habari , juu ya huduma ya Tigo Jamaa ya kusaidia kuwaunganishia wateja wa wanaotumia mtandao wa Tigo katika huduma za Inteneti kwenye simu zao.(Kulia) ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Alice Maro.wa kwanza kushoto mtaalam wa promosheni mahusiano na udhamini Bw.Edward Shila, mkutano huo ulifanyika katika Hotel ya Holiday Inn jijini Dar es salaam leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment