Nafasi Ya Matangazo

July 05, 2012

 Meneja wa Benki ya ABC anae shughula na Retail Sales & Channel Manager, Aloyce Romanus, akizungumza na wana habari (hawapo pipichani) juuu ya huduma mpya ya Benki hiyo ya kutoa VISA CARD bila ya mtu kuwa na akaunti ya Benki. Mazungumzo hayo ameyafanya leo katika viwanja vya Maonesho Saba saba jijini Dar es Salaam.
 Mteja anachotakiwa kufanya ili kupata VISA card hiyo ni kitambulisho chake tu cha kupigia kura na pesa taslimu sh 5000/= au zaidi kwaajili ya kuweka katika card yake.
Vijana wa kazi wa Bank NBC wakikufuata usisite kuwasikiliza.
Posted by MROKI On Thursday, July 05, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo