Nafasi Ya Matangazo

July 27, 2012

Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa APR.
Kipa wa APR, Ndoli Jean Claude akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake. Kusho ni mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza.
Mfungaji wa bao pekee la Yanga, Hamisi Kiiza, akimtoka beki wa APR, Ngabo Albert katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame, uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0. 
Mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi akimtoka beki wa APR.
Mrisho Ngasa akimtoka beki wa AS Vita
Mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche akimtoka beki wa AS Vita.
Mashabiki wa Azam wakiishangilia timu yao baada ya kuingia fainali ya kagame
Mshabiliaji wa Azam, Mrisho Ngasa akimtoka beki wa AS Vita, Pambani Makiadi katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ambapo Azam imeshinda kwa mabao 2-1 na kuingia fainali ya michuano ya kombe la Kagame kwa kupambana na Yanga Julai 28. SOURCE: MICHUZI BLOG.
Posted by MROKI On Friday, July 27, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo