Nafasi Ya Matangazo

May 21, 2012

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama leo jioni  muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Marekani ambapo alishiriki katika mkutano wa G8.
Posted by MROKI On Monday, May 21, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo