Nafasi Ya Matangazo

May 25, 2012

Licha ya kuwa maji wanayokunywa wanafunzi hawa wa Shule ya Msingi Mbezi Juu ya jijini Dar es Salaam ni maji ya bomba lakini maji haya si salama kwa wanafuzni hawa kunyanywa moja kwa moja kutoka Bombani kama walivyokutwa hivi karibuni wakifanya hivyo.

Aidha kwa mujibu wa wanafunzi hao maji hayo yanachunvi hivyo huyanywa kwa shida kiu unapo wabana. Maji hayo pia yanaweza kuwa na vijidudu hatarishi kwa magonjwa ya tumbo kwakuwa hayachemshwi.
Posted by MROKI On Friday, May 25, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo