Hii ni moja ya Hoteli kalzilizopo Mtaa wa Rufiji Jijini Mwanza, ni JAWITA HOTEL ni nzuri kwa kweli na panavutia
Hoteli hii nayo ipo mtaa huu na ina SUMAI nayo ni nzuri
Huu ndio Mtaa wa RUFIJI jijini Mwanza na unamajengo ya Hoteli ya Ukweli
Hii ni Hoteli lakini bado haijaisha Ujenzi wake kwa mujibu wa Wenyeji wa nadai ni Mali ya Waziri fulani hivi aliyetemwa jana katika Baraza Jipya.
Majengo yote hayo ya hoteli, car park ziko wapi? Je miuundo mbinu kama umeme na maji pamoja na mabomba ya maji machafu yanaweza kumudu ongezeko la majengo hayo??
ReplyDelete