Msanii
wa Muziki wa kizazi kipya Diamond akiingia kituo cha kulea watoto
yatima kiitwacho Maunga Center kilichopo karibu na kituo cha polisi cha
Hananasif, Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kutoa
msaada wa vyakula. Ambapo kituo hicho kina watoto wapatao 40.
Diamond akiwa amembeba mmoja ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho.
Umati wa watu pamoja na watoto walioungana kumshuhudia Diamond.
Picha zaidi gonga Hapa HABARI NA MATUKIO
0 comments:
Post a Comment