Nafasi Ya Matangazo

April 16, 2012

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua  utengenezaji  vyandarua na nguo katika kiwanda cha A to Z cha Arusha Aprili 15,2012. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa kwanda hicho,  Anuj Shah.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mbolea iliyorundikana kwenye maghala ya kiwanda cha mbolea cha Minjingu Mkoani Manyara wakati alipotembelea kiwanda hicho Aprili 16, 2012. Kiwanda hicho kimesimamisha uzalishaji baada ya mbolea yake kukosa soko. Kushoto ni ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Tosky Hans.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali wa Nchi zinazoongea kiingereza barani Afrika kwenye hoteli ya Impala, Arusha Aprili 16, 2012. Kulia kwake ni  Mdhibiti na Mkaguzi  mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh. na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Gregory Teu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali wa Nchi zinazoongea kiingereza barani Afrika kwenye hoteli ya Impala, Arusha Aprili 16, 2012. Kulia kwake ni  Mdhibiti na Mkaguzi  mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh.
Posted by MROKI On Monday, April 16, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo