Naibu Waziri wa Sayansi na Mawasiliano Charles Kitwanga akifungua mkutano wa mwaka wa 32 wa Umoja wa Taasisi za Mawasiliano Kusini mwa Afrika unaofanyika kwa siku mbili unaojadili mambo mbalimbali katika mawasiliano ya simu ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kidigitali, mkutano huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 14 za (SAADC) Zimbabwe, Namibia, Botswana, Malawi Msumbiji, Afrika Kusini Rethoto na Tanzania .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment