Mashabiki wa Yanga waliotinga katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuizomea Simba huku wakiwa na chupi Mkononi wametokanayo vichwa chini baada ya Simba ar es Salaa kuendeleza ubabe wake dhidi ya warabu baada ya kuichapa 2-0 timu ya Es Satif ya Algeria katika mchezo wa kuwanbia Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Magoli ya Simba yalifungwa kipindi cha pili na Mshambuliaji hatari Emmanuel Okwi kufuatia kazi nzuri ya Haruna Moshi Boban na goli la pili likifungwa nae Haruna Moshi Boban mwenyewe.
Mchezo wa marudiano unataraji kufanyika wiki mbili zijazo nchini Algeria ambapo Es Setif italazimika kuifunga Simba 3-0 ili iweze kusonga mbele katika mashindano hayo.
duuuuuuuuuuhhhhhhhhh
ReplyDeleteSIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA,YOUR FOREVER
ReplyDelete