Nafasi Ya Matangazo

March 08, 2012

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAFANA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sophia Simba akiinua kitenge kushangilia wakati akijumuika na wanawake wenzake kusakata muziki katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, leo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Waziri Sophia Simba akisakata muziki na wanawake kwenye sherehe hizo
Wanawake kutoka Taasisi mbalimbali na wakijumika kucheza muziki kwa shangwe kubwa wakati wa sherehe hizo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam, leo
Waziri Sophia Simba na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake mkoa wa Dar es Salaam, Zarina Madabina wakiwatuza wasanii waliokuwa wakicheza muziki wa Makhiri-Khiri kwenye sherehe hizo
Posted by MROKI On Thursday, March 08, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo