Nafasi Ya Matangazo

March 01, 2012

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya NHIF Bw Hamisi Mdee akimkabidhi mmoja wa viongozi wa kikundi cha waendesha pikipiki wa bodaboda cha (Yeboyebo) cha manispaa ya Songea jaketi la usalama barabarani litalalowawezesha watumiaji wengine wa barabara kuona kirahisi wawapo barabarani. Hafla hiyo fupi ilifanyika katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma na kushuhudiwa na wadau mbalimbali wakiwemo wajumbe wa bodi ya mfuko, watumishi wa hospitali ya mkoa na wananchi wengine. Umoja wa Yeboyebo una jumla ya wanachama zaidi ya 400.
Posted by MROKI On Thursday, March 01, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo