Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe akifungua mkutano wa wadau mfuko wa taifa wa bima ya afya mkoani humo jana.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emanuel Humba akitoa maelezo ya utangulizi kwa wadau.
Mjumbe wa Bodi ya NHIF, Prof. Joseph Shija akitoa salaam za bodi kwa wadau wa Mfuko huo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NHIF, Eugen Mikongoti na Mkurugenzi wa Takwimu na Utafiri, Michael Mhando wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa.
Wadau wakifuatilia mada mbalimbali katika mkutano huo kutoka kwa Uongozi wa NHIF.
0 comments:
Post a Comment