Nafasi Ya Matangazo

March 19, 2012

 Mkuu Mpya wa Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) MejaJenerali Samwel Ndomba akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Meja Jenerali Ndomba anachukua nafasi yaMeja Jenerali Samwel Kitundu aliyestaafu hivi karibuni kwa mujibu wa sheria.
 Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteakimkabidhi miongozo ya kazi mkuu mpya wa JKT meja Jenerali Samwel Ndombawakati wa hafla ya kumuapisha iliyofanyika leo asubuhi ikulu jijini Dar esSalaam.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,(kushoto)Waziri MkuuMizengo Pinda(kulia) na Mkuu mpya wa JKT Meja Jenerali Samwel Ndomba wakiwakatika picha ya pamoja muda mfupi baada ya hafla ya kumuapisha mkuu huyo mpyawa JKT ikulu jijini Dar es Salaam leo.
 Amiri Jeshi mkuu,Rais Dkt.Jakaya MrishoKikwete(Katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi naUsalama Jenerali Davis Mwamunyange(kushoto) na Mkuu mpya wa JKT Meja JeneraliSamwel Ndomba muda mfupi baada ya hafla ya kumuapisha iliyofanyika ikulu jijiniDar es Salaam leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mzeeAlbert Ndomba(85),baba mzazi wa Mkuu Mpya wa JKT, Meja Jenerali Samwel Ndomba(wapilikushoto) baada ya halfa ya kumuapisha iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaamleo.Kulia ni mke wa Meja Jenerali Ndomba na waliosimama nyuma ni wanafamilia.
Posted by MROKI On Monday, March 19, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo