Nafasi Ya Matangazo

March 02, 2012

 
Wanawake wakazi wa Ugweno Msangeni Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjarowakitoka kuchota moja katika moja ya vyanzo vya maji vilivyopo kijijini hapo kama walivyo kutwa na mpigapicha wetu hivi karibuni. Wakazi wengi wa Ugweno huvuna maji ya mvua katika matanki waliyoyajenga katika nyumbazao na maji hayo huyahifadhi na kutumika zaidi wakati wa shida ya maji.
Posted by MROKI On Friday, March 02, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo