Nafasi Ya Matangazo

March 08, 2012

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utamblisho kutoka kwa mabalozi watatu wanaoziwakilisha  nchi zao hapa Tanzania.Waliowasilisha hati zao leo Ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Mhe. Hani Bin Abdullah bin Mohamed  Mu’minah wa Saudi Arabia, Askofu Mkuu Mhashamu Francisco Mentecillo Padilla wa Vatican, na Mhe.Bi. Judith Kangoma Kapijimpanga wa Zambia.Pichani Balozi mpya wa Vatican nchini, Askofu Mkuu Mhashamu Francisco Montecillo Padilla akiwasilisha hati zake kwa Rais Kikwete.
Posted by MROKI On Thursday, March 08, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo