Mh Zitto akiwa kweny moja ya shamba la mkonge huko Mwalya/Usambara.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe akihutubia umati wa watu uliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Manundu, Korongwe, mkoani Tanga, jana
Wananchi wa Korogwe wakiwa wamembeba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe baada ya kumaliza kuwahutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Manundu, mkoani Tanga, jana. Picha kwa hisani ya Edwin Mjwahuzi.
Mh Zitto yuko Mkoani Tanga kwa zira ya siku 5 kwa ajili ya kukagua uhai wa chama cha CHADEME mkoganini humo,ambapo pia Mh Zitto atakutana na viongozi mbalimbali wa chama na ngazi za Kata na Majimbo sambamba n a mikutano ya hadhara katika Wilaya ya Handeni,Korogwe,Muheza,Pangani na jiji la Tanga.Aiidha katika taarifa yake Mh Zitto alisema kuwa atawakumbusha wananchi wa Tanga umuhimu wa kufanya mabadiliko katika siasa za nchi yetu na nafasi ya mkoa wa Tanga katika historia ya Tanzania.
0 comments:
Post a Comment