Nafasi Ya Matangazo

February 16, 2012

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Star Media (T) Limited, Angelo Wang na, Danny Wong wakikabidhi mazulia kwa Katibu tawala wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambayo yametolewa na kampuni hiyo kwaajili ya waathirika wa mafuriko waliohamishiwa katika eneo la Mabwepande nje kidogo ya jiji hivi karibuni.Star Media nikampuni iliyoingia ubia na TBC kuuza na kusambaza vingamuzi vya Star Time nchini.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Star Media (T) Limited, Angelo Wang na, Danny Wongakifafanua jambo kuhusiana na msaada huo kwa waathirika wa mafuriko.
Wawakilishi wa Kampuni ya Star Times waliotembelea Mabwepande hivi karibuni na kutoa msaada wa mazulia wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala. Kutoka Kushoto ni Mr Danny Wong,Katibu Tawala, Eugenia, Kidani, Fidea, Mr Mbeo, Mr Angelo na Mr Joseph.
Posted by MROKI On Thursday, February 16, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo