Nafasi Ya Matangazo

February 01, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika Jaji Gerald Miyungeko aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.wengine ni Makamu wa Rais wa Mahakama hiyo Jaji  Sophia Akufo  (wa pili kulia) na Jaji  Nwanuri.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika Jaji Gerald Miyungeko,  aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.
RAis Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Makamu wa Kwanza wa Rais Dr Mohamed Gharib Bilali na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw Saidi Meck Sadiki.
Posted by MROKI On Wednesday, February 01, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo