Nafasi Ya Matangazo

February 13, 2012

 MAMBO YA KWAITO HAYAKUWA NYUMA TIMU YA WANA NHIF IKIJIMWAGA KAMA KAWA, KWANI NI SEHEMU YA KUJENGA AFYA.
 MAFANNIKIO YOYOTE HAYAWEZI KWENDA BILA UWEPO WA MWANAMKE,MAMA MKURUGENZI AKIFANYA MAMBO HUKU AKIAMBATANA NA MKURUGENZI MKUU KATIKA KUFANYA MAJUMUISHO NA MAKARIBISHO YA MWAKA MPYA.
 MKURUGENZI WA  UHAI WA MFUKO,TAKWIMU NA UTAFITI  BWN. MICHAEL MHANDO ALIPATA TUZO YA UTAMBUZI KWA KUTUMIKIA MFUKO KWA MIAKA 10.
 MWENYEKITI WA KAMATI YA SHEREHE AMBAYE NI MKURUGENZI WA UENDESHAJI WA NHIF BWN. EUGEN MIKONGOTI HAKUWA NYUMA KATIKA KUWAKARIBISHA WAALIKWA KATIKA SHEREHE HIYO.
Watu walishow maupendo...
Posted by MROKI On Monday, February 13, 2012 1 comment

1 comment:

  1. Wabongo acheni kasumba nyinyi.

    Sasa hiyo KWAITO ndo nini na ya watu gani?
    Yaani mnaniudhigi mpaka nasikia maumivu!

    Kwa nini msingecheza hapo GOMBESUGU au MDUMANGE? Mbona mnajidhalilisha wenyewe? Wacheni hizo

    Tubadilike jamani.

    Khaah!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo